Huduma Ya Matibabu

Pale ambapo mwajiriwa ameumia au kuugua kutookana na kazi atapata matibabu na huduma nyinginezo kama:
- Huduma ya gari la kubeba wagonjwa
- Kumuona daktari
- Huduma ya uuguzi
- Kupata huduma ya upasuaji
- Malipo ya dawa
- Kurudia matibabu itakapobidi
- Kupatiwa viungo bandia