Malipo haya hulipwa kwa anayemhudumia mfanyakazi aliyepata ajali ama kuugua kutokana na kazi na ambaye hawezi kujihudumia.