Msaada wa mazishi hutolewa kwa familia ya mfanyakazi pale ambapo mfanyakazi atafariki kutokana na ajali au ugonjwa uliotokana na kazi.