Mfanyakazi atapata malipo ya ulemavu wa muda mfupi endapo ataumia au kuugua kutokana na kazi na kumfanya apate ulemavu wa muda mfupi. Fao hili litatolewa kwa kipindi kisichozidi miezi 24.