Malipo Kwa Wategemezi Wa Marehemu

Malipo haya hutolewa kwa mjane au watoto wa mfanyakazi aliyefariki kutokana na ajali au ugonjwa uliotokana na kazi. Pale ambapo hakuna mjane au watoto, wategemezi wengine wa mfanyakazi watafidiwa kwa mujibu wa Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi.