Huduma hizi atapewa mfanyakazi pale ambapo ataumia au kuugua kutokana na kazi, kwa lengo la kumsaidia aweze kurudi kazini haraka ama kushiriki katika shughuli njyingine za kijamii ambazo zitamuingizia kipato.