Habari

WAAJIRI TUMIENI WCF KULINDA WAFANYAKAZI WENU, PROF. NDALICHAKO
Imewekwa: 25th Jan, 2022Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amewaasa waajiri nchini katika sekta ya umma na binafsi kuendelea kuzingatia Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi ili kuwezesha fidia kwa wafanyakazi waliopata changamoto kutokana na kazi kwa wakati....Soma zaidi
MADAKTARI WALIOPATIWA MAFUNZO NA WCF WAONGEZEKA NA KUFIKIA 1,323 NCHI NZIMA
Imewekwa: 7th Dec, 2021IDADI ya madaktari wenye ujuzi wa kufanya tathmini za ulemavu na magonjwa yatokanayo na kazi imepanda na kufikia 1,323 nchi nzima, Mkurugenzi Mkuu wa, Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma amesema....Soma zaidi
WCF YAENDESHA MAFUNZO KWA MAAFISA UTUMISHI/UTAWALA KUTOKA TAMISEMI
Imewekwa: 23rd Nov, 2021MAAFISA Utumishi/Utawala kote nchini wamehimizwa kujenga mahusiano baina ya ofisi zao na Wafanyakazi katika kulinda haki zao ikiwa ni pamoja na kufahamu masuala yahusuyo fidia baada ya mfanyakazi kuumia au kuugua kutokana na kazi....Soma zaidi

NAIBU WAZIRI KATAMBI AWATAKA WAAJIRI KUWASILISHA MICHANGO WCF KABLA HAWAJASUKUMWA NA SHERIA
Imewekwa: 18th Nov, 2021NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira) Patrobas Katambi, amewataka Waajiri nchini kuwasilisha michango kwenye Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi kwa wakati kama ambavyo Sheria inavyowataka kufanya hivyo....Soma zaidi