Nukuu
MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Mafanikio ya mwaka mmoja wa Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni pamoja na punguzo la michango ya waajiri wa Sekta binafsi kutoka 1% hadi 0.5% pamoja na punguzo la riba ya kuchelewesha michango inayotozwa kwa waajiri kutoka 10% hadi 2%

.
ZIARA YA MHE. PROF. NDALICHAKO WCF 2022

“Serikali ni sikivu, imepunguza viwango vya uchangiaji kwa sekta binafsi kutoka asilimia moja (1%) mpaka asimilia sifuri nukta tano (0.5%) kuanzia tarehe 1 Julai 2021. Waajiri tumieni fursa hii adhimu kuhakikisha mnatekeleza matakwa ya kisheria kwa kuwachangia wafanyakazi wenu” – Mhe. Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu).

.
Sabasaba Exhibition 2021

Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) unaendelea kukua kwa kasi ambapo mwaka 2016 ulikuwa na thamani ya bilioni 65.7 na kwa sasa umefikia thamani ya bilioni 438

.