Habari

news image

WCF YATWAA TUZO YA UBORA KATIKA FIDIA NA BIMA ZA WAFANYAKAZI

Imewekwa: 4th May, 2023

MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umetwaa tuzo ya “Best OSH Policy for Workers in Insurance Services” wakati wa kilele cha Siku ya Kimataifa ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi 2023 kwenye viwanja vya Tumbaku mjini Morogoro....Soma zaidi

news image

“NAWASHUKURU WCF KWA KUNIWEZESHA KUYAMUDU MAISHA"- MNUFAIKA WA FIDIA

Imewekwa: 4th May, 2023

MNUFAIKA wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bw. Deus Anthony, ameushukuru Mfuko huo kwa kumuwezesha kuyamudu maisha licha ya kupata Ulemavu wa Kudumu uliotokana na Kazi....Soma zaidi

news image

MKURUGENZI MKUU WA WCF AKUTANA NA WANUFAIKA WA FIDIA

Imewekwa: 4th May, 2023

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma amekutana na wanufaika wa WCF, Bw. Deus Anthony na Bw. Ramadhan Juma kwenye kilele cha siku ya kimataifa ya usalama na afya mahali pa kazi katika viwanja vya Tumbaku mjini Morogoro Aprili 28, 2023....Soma zaidi

news image

UTENDAJI BORA WA WCF WAPONGEZWA NA UJUMBE WA WIZARA YA KAZI KENYA

Imewekwa: 25th Apr, 2023

UJUMBE kutoka Wizara ya Kazi nchini Kenya ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Geoffrey Kaituko umetembelea Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) na kusema “umekunwa” na utendaji bora wa WCF na kuuita kuwa ni Kinara katika masuala ya Fidia kwa Wafanyakazi barani Afrika....Soma zaidi