Habari

news image

WCF YAPONGEZWA KWA UTENDAJI BORA

Imewekwa: 22nd Feb, 2022

Naibu Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi (MB), amesema Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) ni miongoni mwa Taasisi za Serikali ambazo ni mfano wa kuigwa barani Afrika....Soma zaidi

news image

MAHAKAMA NA RITA KUWEZESHA MALIPO YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI

Imewekwa: 22nd Feb, 2022

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma amesema Taasisi za Mahakama na ile ya Vizazi na Vifo (RITA) zina umuhimu mkubwa katika mchakato wa malipo ya fidia kwa wategemezi wa mfanyakazi anayefariki kutokana na ajali au ugonjwa unaotokana na kazi....Soma zaidi

news image

TUGHE YAHIMIZA USHIRIKIANO KWENYE MAAMUZI YA TAASISI

Imewekwa: 22nd Feb, 2022

KATIBU Mkuu wa TUGHE taifa Bw. Hery Mkunda amepongeza Uhusiano mzuri baina ya Menejimenti ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) na Wafanyakazi. Bw. Mkunda ameyasema hayo mjini Morogoro Februari 11, 2022 wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi la WCF....Soma zaidi

news image

WCF BONANZA LAFANA

Imewekwa: 22nd Feb, 2022

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma ametoa wito kwa watumishi wa Mfuko kujijengea utaratibu wa kufanya mazoezi mara kwa mara kwa ajili ya kuimarisha afya zao....Soma zaidi

Tanzania Census 2022