Dira na dhamira
Dira
Kuwa mfano wa kuigwa katika utoaji wa huduma za fidia kwa wafanyakazi barani Afrika.
Dhamira
Kupunguza athari za kijamii na kiuchumi kwa wafanyakazi,
familia zao na waajiri zitokanazo na ajali ama magonjwa
yatokanayo na kazi kwa kutoa fidia stahiki,
kwa uendelevu, uwazi na ufanisi.