Habari
SERA ZA SERIKALI YA AWAMU YA SITA ZACHANGIA ONGEZEKO KUBWA LA WAAJIRI KUJISAJILI WCF-DKT. MDUMA
Imewekwa: 2nd Mar, 2023Kumekuwa na ongezeko kubwa la waajiri kujisajili na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya sita, Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Dkt. John Mduma amesema....Soma zaidi

IGP. CAMILLUS WAMBURA, AMEWATAKA WATENDAJI WA WCF KUWAJENGEA UELEWA MAKAMANDA WA POLISI
Imewekwa: 31st Jan, 2023Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amewataka watendaji wa WCF kuwajengea uelewa makamanda wa Polisi wa mikoa ili waweze kuelewa majukumu yao ni nini pale wanapohitaji taarifa kwa ajili ya kutoa fidia kwa wafanyakazi wanapoumia wakiwa katika kutekeleza majukumu yao....Soma zaidi

UJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA SHERIA NDOGO YA BARAZA LA WAWAKILISHI YATEMBELEA WCF
Imewekwa: 13th Oct, 2022Ujumbe wa Kamati ya Kudumu ya Sheria Ndogo ya Baraza la Wawakilishi ukiongozwa na mwenyekiti wake, Mhe. Mihayo Juma Nunga umetembelea ofisi za Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) jijini Dar es Salaam Oktoba 12, 2022 kwa nia ya kujifunza....Soma zaidi

MADAKTARI NCHINI WATAKIWA KUZINGATIA UADILIFU, UMAKINI, KUJITOLEA NA UZALENDO
Imewekwa: 3rd Oct, 2022MADAKTARI nchini wametakiwa kuzingatia uadilifu, umakini, kujitolea na uzalendo wakati wakitekeleza majukumu yao wanapowahudumia wananchi....Soma zaidi