Habari

MKUU WA MKOA WA DODOMA ROSEMARY SENYAMULE AELEZA MANUFAA YA UWEPO WA WCF KWA WAFANYAKAZI
Imewekwa: 27th Sep, 2022MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema hivi sasa wafanyakazi wanao uhakika wa kinga na kipato kutokana na majanga yanayosababishwa na ajali, magonjwa na vifo kutokana na kazi kufuatia uwepo wa Mfuko wa Fidia kwa wafanyakazi (WCF)....Soma zaidi

WCF YASISITIZA MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA KUWASILISHA MADAI YA FIDIA
Imewekwa: 22nd Sep, 2022MAAFISA Rasilimali watu na Utawala hapa nchini wamehimizwa kutumia TEHAMA wakati wa kutoa Taarifa kwenye Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) pindi Mfanyakazi anapoumia, kuugua ama kufariki kutokana na kazi ili kuharakisha mchakato wa utoaji fidia....Soma zaidi

ZAIDI YA TANI 5,000 ZA CHAI KUCHAKATWA NA KIWANDA CHA KISASA CHA CHAI MPONDE
Imewekwa: 18th Aug, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Mhe. Profesa Joyce Ndalichako amesema Kiwanda cha Chai Mponde kinakwenda kuwa kiwanda cha kisasa ambapo kitaweza kuchakata zaidi ya tani 5,000 za chai....Soma zaidi

WAKULIMA, WAFUGAJI NA WAVUVI WALIO KATIKA AJIRA NI WATEJA WETU-WCF
Imewekwa: 9th Aug, 2022MKURUGENZI wa Huduma za Tathmini, Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Dkt. Abdulsalaam Omar, amesema Maonesho ya Nanenane mwaka huu 2022 yanayofanyika jijini Mbeya, yana maana kubwa kwa Mfuko huo....Soma zaidi