Habari

news image

MIAKA MIWILI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA UMELETA MAFANIKIO CHANYA WCF

Imewekwa: 30th Mar, 2023

KUMEKUWEPO na maendeleo chanya katika utekelezaji wa majukumu ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF) kutokana na mabadiliko ya Kisera ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wake Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan....Soma zaidi

news image

WCF KATIKA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI

Imewekwa: 30th Mar, 2023

Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani 2023....Soma zaidi

news image

WCF na NHIF zaboresha utoaji huduma

Imewekwa: 30th Mar, 2023

Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wamesaini makubaliano ya utoaji Huduma kwa ushirikiano....Soma zaidi

news image

WAFANYAKAZI WANAWAKE WCF WATOA MISAADA KWA WATOTO WANAOUGUA MARADHI YA MOYO TAASISI YA JAKAYA KIKWETE (JKCI)

Imewekwa: 7th Mar, 2023

Katika kusherehekea siku ya Wanawake Duniani, Wafanyakazi wanawake kutoka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) wametoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya moyo kwenye Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam Machi 6, 2023....Soma zaidi