Habari

BODI YA WADHAMINI YA WCF YATEMBELEA KCMC
Imewekwa: 1st Jun, 2023Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) wamekutana na Uongozi wa Hospitali ya KCMC na kutembelea maeneo ya kutoa huduma wanazopata wanufaika wa WCF....Soma zaidi

MAFUNZO YA UFANYAJI WA TATHMINI ZA MAGONJWA NA AJALI ZITOKANAZO NA KAZI
Imewekwa: 1st Jun, 2023MAFUNZO ya utoaji wa tathmini za magonjwa na ajali zitokanazo na kazi kwa madaktari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa yanaendelea leo Mei 24, 2023 katika ukumbi wa BoT jijini Mwanza....Soma zaidi

WCF YASHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI KITAIFA
Imewekwa: 1st Jun, 2023Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeshiriki katika Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI 2023)...Soma zaidi

WCF YATWAA TUZO YA UBORA KATIKA FIDIA NA BIMA ZA WAFANYAKAZI
Imewekwa: 4th May, 2023MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umetwaa tuzo ya “Best OSH Policy for Workers in Insurance Services” wakati wa kilele cha Siku ya Kimataifa ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi 2023 kwenye viwanja vya Tumbaku mjini Morogoro....Soma zaidi