Habari

WCF YAWAKARIBISHA WANACHAMA NA WADAU KUTEMBELEA BANDA LA MAONESHO YA SABASABA 2023
Imewekwa: 12th Jul, 2023MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) unawakaribisha Wanachama na Wadau kutembelea banda la Mfuko huo lililoko Mtaa wa Mabalozi viwanja vya Maonesho vya Julius Nyerere ambako kunafanyika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, maarufu SabaSaba....Soma zaidi

WCF YAADHIMISHA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA KWA KUTOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA MWANANYAMALA
Imewekwa: 27th Jun, 2023MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umekabidhi vifaa tiba kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ambayo huadhimishwa Juni 23 kila mwaka kwania ya kutambua mchango wa Watumishi wa Umma katika Maendeleo ya bara la Afrika....Soma zaidi

MAAFISA HABARI, MAWASILIANO NA UHUSIANO WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR WATEMEBELA OFISI ZA WCF
Imewekwa: 27th Jun, 2023MAAFISA Habari na Mawasiliano kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Bw. Hassan Khatib Hassan wametembelea Ofisi za Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza shughuli zinazotekelezwa na Mfuko huo....Soma zaidi
ASILIMIA 87% HUDUMA ZA WCF ZINAFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAO
Imewekwa: 5th Jun, 2023ASILIMIA 87 ya shughuli zote za Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) zinafanyika kwa njia ya Mtandao....Soma zaidi