Habari

news image

MAAFISA UTUMISHI WAPATA ELIMU YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI

Imewekwa: 28th Mar, 2022

Maafisa Utumishi na Utawala kutoka halmashauri mbalimbali nchini wamekumbushwa kuwa moja ya majukumu yao ni kuwasilisha taarifa WCF kwa wakati za watumishi kunapotokea ajali au ugonjwa kutokana na kazi....Soma zaidi

news image

MIONGOZO YA TATHMINI ZA ULEMAVU ULIOTOKANA NA AJALI NA MAGONJWA YATOKANAYO NA KAZI TUNU KWA WAFANYAKAZI

Imewekwa: 28th Mar, 2022

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Profesa Joyce Ndalichako, amezindua rasmi miongozo ya tathmini za ulemavu, inayotumiwa na Madaktari na Wataalamu wa Afya wakati wa kufanya Tathmini za Ulemavu uliotokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi....Soma zaidi

news image

WCF: TUNA WAJIBU WA KULINDA NGUVU KAZI YA WAFANYAKAZI TANZANIA

Imewekwa: 24th Mar, 2022

Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umewahimiza waajiri kuchangamkia fursa ya punguzo la michango lililotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita kuanzia Julai Mosi 2021 ili kulinda nguvu kazi na kuongeza ari ya wafanyakazi wao....Soma zaidi

news image

WANAWAKE WA WCF WATEMBELEA WAGONJWA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Imewekwa: 11th Mar, 2022

​Wanawake wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) wameadhimisha siku ya Wanawake Duniani kwa shughuli za kijamii ikiwemo kutembelea wagonjwa kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala na kuwapatia misaada ya vifaa mbalimbali....Soma zaidi

Tanzania Census 2022