Habari

WCF yapokea ujumbe wa DOSHS kutoka Kenya
Imewekwa: 6th Aug, 2022Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umepokea ujumbe wa Kurugenzi ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi ya Kenya (DOSHS) wenye dhumuni la kujifunza kutokana na mafanikio ya WCF Tanzania na kuboresha mahusiano baina ya taasisi hizo mbili....Soma zaidi

MAONESHO YA NANENANE 2022 YANAAKISI SHUGHULI ZA WCF
Imewekwa: 4th Aug, 2022MKURUGENZI wa Huduma za Tathmini, Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. Abdulsalaam Omar, amesema Maonesho ya Nanenane mwaka huu 2022 yanayofanyika jijini Mbeya, yana maana kubwa kwa Mfuko....Soma zaidi

UZINDUZI NANENANE WANANCHI WAHAMASISHWA KUSHIRIKI SENSA KWA MIPANGO BORA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI
Imewekwa: 4th Aug, 2022Serikali imefungua rasmi Maonesho ya Nanenane Kitaifa, Mbeya ikihimiza wananchi kushiriki katika Sensa ya Maendeleo na Makazi itakayofanyika mwezi Agosti 2022....Soma zaidi

WAZIRI NDALICHAKO AWATAKA WAMILIKI WA VIWANDA KUZINGATIA SHERIA ZA KAZI
Imewekwa: 26th Jul, 2022Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amefanya ziara mkoani Dar es laam...Soma zaidi