BAADHI YA MADAKTARI NA WATOA HUDUMA YA AFYA, WAKISIKILIZA MADA WAKATI WA SEMINA YA SIKU TANO
.jpg )
Imewekwa: 8th May, 2019
Baadhi ya madaktari na watoa huduma ya afya, wakisikiliza mada wakati wa semina ya siku tano ya tathmini ya ugonjwa na ajali zitokanazo na kazi Tarehe 6 - 10 Mei 2019. Takriban madaktari 100 kutoka mikoa mitano ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam, Pwani na Morogoro wanashiriki kwenye semina hiyo iliyoandaliwa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF)