ZIARA YA MHE. PROF. NDALICHAKO WCF 2022
“Serikali ni sikivu, imepunguza viwango vya uchangiaji kwa sekta binafsi kutoka asilimia moja (1%) mpaka asimilia sifuri nukta tano (0.5%) kuanzia tarehe 1 Julai 2021. Waajiri tumieni fursa hii adhimu kuhakikisha mnatekeleza matakwa ya kisheria kwa kuwachangia wafanyakazi wenu” – Mhe. Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu).